Back to home

Shule ya Senti Francis ECDE kilichoko eneo la Mang’u yabomolewa na watu wasiojulikana

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 7, 2025
3h ago
Gavana wa Kiambu, Kimani Wamatangi, amelaani vikali ubomozi wa kituo kipya cha Senti Francis ECDE kilichoko eneo la Mang’u, Gatundu Kaskazini, akikitaja kitendo hicho kuwa uharibifu wa rasilimali za umma na ishara ya siasa chafu zinazochipuka katika kaunti hiyo. Subscribe and