Back to home
Matayarisho ya mbio za nyika za Chepsaita makala ya tatu yameng'oa nanga rasmi Uasin Gishu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 7, 2025
2h ago
Matayarisho ya mbio za nyika za Chepsaita makala ya tatu yameng'oa nanga rasmi katika kaunti ya Uasin Gishu. Kufikia sasa wanariadha elfu 5 tayari wamejisajili kushiriki Mashindano hayo yatakayofanyika tarehe 6 mwezi Desemba

