Back to home

Ruto awaonya vijana dhidi ya wanasiasa wanaotaka kuwahadaa kabla ya uchaguzi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
6h ago
Rais William Ruto amewataka vijana kuwa makini haswa wanasiasa wanapojaribu kuwashawishi wawapigie kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Rais Ruto alikuwa akizungumza katika kaunti ya Kakamega ambapo alitoa fedha kwa vijana kupitia hazina ya Nyota