Back to home
Viongozi wakutana Homa Bay baada ya watu wawili kuuawa kwenye vurugu za kampeni Kasipul
video
C
Citizen TV (Youtube)November 7, 2025
6h ago
Maafisa wa usalama kaunti ya Homa Bay wamefanya mkutano wa dharura na wagombea kiti cha eneo bunge la Kasipul kufuatia mauaji ya watu wawili kwenye machafuko ya kampeni za uchaguzi mdogo




