Back to home
Kocha wa Tusker Charles Okere apata afueni baada ya ushindi wa tatu msimu huu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 7, 2025
5h ago
Shinikizo limepungua kwa muda kwa kocha wa Tusker Fc Charles Okere baada ya kupata ushindi wake wa tatu msimu huu ijumaa alasiri. Tusked Fc iliifunga Bidco united 1-0 na kupanda hadi nafasi ya tano kwenye ligi kuu ya Kenya





