Back to home

Msafara wa Jipange na Viusasa wanogesha kaunti za Bungoma na Busia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
6h ago
Msafara wa Jipange na Viusasa unaendelea kunoga katika ukanda wa Magharibi, leo ukizuru kaunti za Bungoma na Busia. Msafara ulianzia Kimaeti na kumalizikia Butula