Back to home
AFC Leopards yapoteza kwa mara ya kwanza msimu huu, yazabwa 2-0 na Mara Sugar
video
C
Citizen TV (Youtube)November 8, 2025
2h ago
Kwa mara ya kwanza msimu huu, Afc Leopards imepoteza mechi ya ligi kuu nchini baada ya kipigo cha mabao mawili kwa nunge mikononi mwa Mara Sugar

