Back to home

Rais Ruto aahidi kuifanya Kenya kuwa taifa lenye uchumi imara na linalojitegemea

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 9, 2025
2h ago
RAIS William Ruto ameendelea kuelezea imani yake kuwa Kenya itafikia viwango vya mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yenye uwezo wa kujisimamia yenyewe ulimwenguni.