Back to home

Walimu wa KUPPET watishia kusitisha usimamizi wa KCSE wakitaka haki kwa mwalimu aliyeuawa Lugari

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 9, 2025
2h ago
Walimu chini ya muungano wa KUPPET eneo la magharibi wametishia kusitisha usimamizi wa mtihani wa KCSE, wakilaumu maafisa wa DCI kwa kuchelewa kuchunguza kifo cha mwalimu mwenzao eneobunge la Lugari. Mwalimu huyu mkuu wa shule ya Munyuki PAG, Simon Isiaho, alipatikana ameuawa na