Back to home

Wabunge wa Kenya Kwanza wakemea Gachagua kwa kuendeleza siasa za ukabila

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 10, 2025
3h ago
Baadhi ya wabunge wanaoegemea Kenya Kwanza wakiongozwa na kiongozi wa wengi bungeni, Kimani Ichung’wah, wamemkemea aliyekuwa naibu wa rais, Rigathi Gachagua, wakimtuhumu kwa kuendeleza siasa za ukabila na zinazolenga kuwagawanya wakenya. Subscribe and watch NTV Kenya live for