Back to home
Barnaba Korir akaribishwa nyumbani baada ya kuchaguliwa kwenye kamati ya kitaifa ya olimpiki
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 10, 2025
3h ago
Zaidi ya wanariadha 300 na wadau wa michezo wa bonde la ufa kaskazini walijumuika katika kijiji cha sironoi, chesumei kaunti ya nandi kwenye hafla ya kukaribishwa nyumbani kwa naibu mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya olimpiki nchini aliyechaguliwa miezi mitatu iliyopita.
Subscr



