Back to home

Kampeni za Uchaguzi wa eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega zashika kasi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 11, 2025
1h ago
Kampeni za Uchaguzi wa eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega zimeshika kasi. Wajumbe wa Kenya kwanza wakiongozwa na msaidizi wa rais Farouk Kibet walikita kambi eneo la Manda Shivanga kumpigia debe mgombea wa ubunge wa Malava kwa tikiti ya UDA David Ndakwa.