Back to home

Mmiliki wa jengo la Easy Coach akamatwa kwa kutolipaka rangi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 11, 2025
1h ago
Mmiliki wa jengo la Easy Coach hapa jijini Nairobi amekamatwa huku Serikali ya Jiji ikianza msako dhidi ya wamiliki wa majengo wanaokaidi maagizo ya kupaka rangi upya majengo yao.