Back to home

Wadau wa elimu watoa wito wa wazazi kuwalinda watoto

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 11, 2025
4d ago
Wadau katika sekta ya elimu wametoa wito kwa wazazi wote nchini kuwa waangalifu msimu huu wa likizo ndefu hususan kufuatia ongezeko la dhulma dhidi ya watoto katika jamii.