Back to home

Shabiki.com yafadhili mashindano ya kandanda ya Rashid Abdalla Super Cup

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 11, 2025
4h ago
Kampuni ya Shabiki.com imefadhili makala ya sita ya mashindano ya kandanda ya Rashid Abdalla Super Cup, michuano inayoendelea katika kaunti za Mombasa na Kwale. Afisa wa oparesheni Shabiki.com, Abdi Waqo, amesema lengo kuu la shabiki.com ni kuinua na kukuza vipaji mashinani