Back to home

Walimu wa JSS waishinikiza TSC kuwapa ajira ya kudumu

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Walimu waliopewa kandarasi ya Shule za Sekondari msingi (JSS) katika Kaunti ya Migori wanaitaka serikali iwaajiri baada ya kandarasi zao kukamilika.