Back to home
Gachagua adai njama ya kuingilia matokeo ya uchaguzi mdogo wa Mbeere Kaskazini
video
C
Citizen TV (Youtube)November 12, 2025
2h ago
Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anadai kwamba kuna njama ya kuingilia matokeo ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Mbeere Kaskazini utakaofanyika tarehe 27 Novemba. Madai ya Gachagua yakijiri wakati ambapo kampeini za chaguzi ndogo mbalimbali zikiendelea kuchacha katika eneo bu


