Back to home

Ruto awarai viongozi wa Ukambani kuungana naye, awatupia vijembe wapinzani

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 12, 2025
2h ago
Rais William Ruto amewarai viongozi wa ukambani kuungana naye ili kusaidia kufanikisha maendeleo katika eneo hilo. Akizungumza katika kaunti ya Makueni alipoanza ziara yake ya siku nne leo, rais William Ruto aliwarushia makombora wapinzani wake akisema hawana sera kwa wakenya na