Back to home

Kaunti ya Nyamira inakabiliwa na changamoto za ufadhili kufuatia kuondolewa kwa ufadhili na USAID

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
3h ago
Kaunti ya Nyamira inakabiliwa na changamoto za ufadhili, kufuatia kuondolewa kwa ufadhili wa miradi mbalimbali ya afya uliokuwa unatolewa na serikali ya Marekani kupitia shirika la USAID.