Back to home

Maafisa wa usalama wa kaunti ya Embu wawataka wanablogu 4 kuandikisha taarifa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
1h ago
Maafisa wa usalama wa kaunti ya Embu wamewataka wanablogu wanne wa eneo hilo kuandikisha taarifa kuhusiana na vitisho kwa kiongozi wa DCP, Rigathi Gachagua. Kamishna wa kaunti hiyo Jack Obuo, amesema kuwa wanne hao wanahusishwa na madai ya kumtishia Gachagua ambaye amepanga kuzur