Back to home

Murkomen asema serikali itagharamia matibabu kwa waathiriwa wa maporomoko Elgeyo Marakwet

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 14, 2025
2h ago
Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen, amesema serikali itagharamia matibabu hospitalini kwa waathiriwa wa maporomoko ya ardhi Elgeyo Marakwet, kusaidia mazishi na pia kuwajengea makazi mapya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday