Back to home
Afrika Kusini yaizamaza Kenya raga fainali
video
C
Citizen TV (Youtube)November 16, 2025
3h ago
Timu ya wanawake ya raga kutoka afrika kusini maarufu kama springbok imetetea ubingwa wake wa raga ya afrika kwa kuwàlaza wenyeji kenya alama 22-0 katika uwanja wa RFUEA hapa Nairobi.





