Back to home
Kampeni za ubunge wa Magarini huko Kilifi zashika kasi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
5h ago
Huku Zikisalia siku kumi tu kabla ya chaguzi ndogo kufanyika katika maeneo mbali mbali humu nchini kampeni zimepamba moto katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi .




