Back to home

Zoezi la kuwasajili makurutu wa polisi lafanyika kote nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
3h ago
Usajili wa makurutu wa polisi umeanza kote nchini. katika kaunti ya Mombasa, zoezi hilo linafanyika katika uwanja wa Mvita.