Back to home

Serikali yalenga kutowatoza vijana ushuru wa biashara

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
1h ago
Serikali kuu inapania kuanzisha likizo ya kodi kwa vijana wanaoanzisha biashara, hatua inayolenga kupunguza vikwazo vya kisheria na kuchochea ukuaji wa uchumi.