Back to home
Mpasuko waibuka ODM kufuatia tofauti za uapishaji
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
3h ago
Mpasuko ndani ya chama cha odm umeendelea hata baada ya mkutano wa mombasa uliofaa kuziba nyufa ndani ya chama hicho. Baadhi ya viongozi wa chama hicho sasa wanasema katiba ya chama haikufuatwa kuwaapishwa viongozi wapya wa chama huko mombasa, kabla ya kongamano la kitaifa la waj





