Back to home

Siku ya watoto waliozaliwa kabla ya muda yaadhimishwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
3w ago
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao kufika,imebainika kuwa Idadi ya Watoto njiti wanaozaliwa katika hosipitali ya rufaa ya Bungoma bado ingali juu.
Advertisement