Back to home

Gachagua awarai wakazi wa Mbeere Kaskazini kumuunga mkono Newton Kariuki

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameongeza moto katika kampeni za eneo la Mbeere Kaskazini, akiwashauri wakazi wa eneo hilo kumuunga mkono mgombea wa umoja wa upinzani, Newton Kariuki. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the