Back to home

Wakazi waonywa dhidi ya biashara haramu ya pombe katika Kaunti ya Nandi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Wakazi katika Kaunti ya Nandi wametakiwa kupata leseni ya kuandaa pombe ya kienyeji ya busaa, ili kuzuia biashara ya pombe haramu wakati wa sherehe za kitamaduni. Akizungumza mjini Kapsabet wakati wa hafla ya kuzindua wiki ya uhamasishaji ya NACADA, Naibu Kamishna Nandi ya Kati