Back to home

Kiprop akataliwa polisi Kwa miaka 8 Kwa sababu ya kimo

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Zoezi la usajili wa makurutu lilikamilika kwa masikitiko kwa wale ambao hawakutimiza viwango vilivyotakiwa. Katika kaunti ya baringo, idris kiprop ni miongoni mwa walioambulia patupu na alikosa kufuzu kwa mwaka wa nane mfululizo. Kila mwaka idris amekuwa akifika akiwa na matumain