Back to home
Ami na wenzake wakamatwa kwa ubakaji na mauaji ya msichana Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
2h ago
Watu wa wanne wamekamatwa akiwemo mshukiwa mkuu kuhusiana na ubakaji na mauaji ya msichana wa miaka 16 safiya abdi bilal huko Garissa. Inadaiwa mshukiwa huyo Hussein Bilal ni ami ya marehemu na alitekeleza unyama huo alipokuwa amepewa jukumu la kuwachunga watoto wa kakake nyumban





