Back to home
Serah Wangari Kimani ashinda shaba, Kenya yanyakua medali ya nne
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
1h ago
Timu ya kenya katika michuano ya deaf-lympics nchini Japan imeongeza idadi yao ya medali hadi nne baada ya kutwaa medali katika mashindano ya riadha.



