Back to home

Kenya Kwanza yaendeleza msururu wa kampeni za uchaguzi huko Malava

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
6h ago
Huku zikisalia siku chache kabla ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge cha Malava, baadhi ya viongozi wa mrengo wa Kenya Kwanza wameendeleza kampeni kumpigia debe mgombea kiti hicho kwa tiketi ya UDA David Ndakwa.