Back to home

Wakaazi waonywa dhidi ya kuhusika na ghasia uchaguzini Bungoma

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
5h ago
‎Huku uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 ukiendelea kubisha hodi, visa vya vurugu vinaendelea kushuhudiwa kaunti ya Bungoma, Maafisa wa polisi wakitakiwa kuwajibikia majukumu yao ipasavyo.