Back to home

Timu ya Kenya ya Harambee Stars ililazwa mabao 8-0 kwenye mchezo wa kirafiki na Senegal

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
1h ago
Timu ya taifa soka Harambee Stars ilinyeshewa mvua ya mabao nane kwa nunge na Senegal kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini uturuki.