Back to home
Muungano wa upinzani umepiga kambi Kilifi kumvumisha Kenga
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 19, 2025
2h ago
Muungano wa Upinzani ukiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka nao umepiga kambi kaunti ya Kilifi kumvumisha Kenga, wakidai yeye ndiye kiongozi bora, na kupuuzilia mbali madai kuwa mwaniaji wa chama hicho alijiondoa kinyang'anyironi baada ya kulipwa Shilingi milioni 300.
Sub



