Back to home
Serikali yaendelea na juhudi za kuwatafutia makao waathiriwa wa maporomoko ya Elgeyo Marakwet
video
C
Citizen TV (Youtube)November 20, 2025
2h ago
Serikali inaendelea na juhudi za kuwatafutia makao mbadala waathiriwa wa maporomoko ya udongo katika kaunti ya Elgeyo Marakwet. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anasema hatua hiyo itawasaidia waathirwa mbali na kuokoa maisha watu wengine wanaoishi katika hali hii. Alikuwa aki





