Back to home

Wakazi wa Turkana waadhimisha siku ya matumizi ya vyoo

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 20, 2025
6h ago
Kaunti ya Turkana imeadhimisha siku ya kimataifa ya kutumia vyoo katika sherehe iliyofanyika ndani ya Kambi ya wakimbizi ya Kalobeyei Turkana magharibi.