Back to home

Madereva wanalalamikia kudorora kwa usalama na msongamano barabara za mpaka Kenya-Uganda

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 20, 2025
1d ago
Madereva wa masafa marefu wanaotumia barabara kuu ya Kisumu kwenda Busia na ile ya Eldoret kuelekea Malaba wanalalamikia kudorora kwa usalama katika barabara hizo, visa vya wizi vikikithiri wanaposubiri katika foleni kuvusha shehena zao mpakani. Wakizungumza kwenye foleni ya maga