Back to home
Jaji Koome awataka mawakili kuhakikisha haki kwa kuepuka ucheleweshaji wa kesi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 20, 2025
1d ago
Jaji mkuu Martha Koome amewataka mawakili kufanikisha upatikanaji wa haki kwa kutojihusisha na masuala yanayohujumu haki na kuchelewesha kukamilishwa kwa kesi. Akizungumza wakati wa kuwaapisha mawakili 920 katika mahakama ya upeo, Koome pia amepuuzilia mbali shaka iliyoibuliwa ku




