Back to home
Wagombea katika wadi ya Chemundu-Kapngetuny, Nandi, wahimizwa kuzingatia amani
video
C
Citizen TV (Youtube)November 21, 2025
9h ago
Huku kampeni za uchaguzi mdogo wa Chemundu-Kapngetuny zikiendelea kuchacha, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika Kaunti ya Nandi imewataka wagombea wote kuendesha kampeni zao kwa amani na kuheshimu sheria za uchaguzi.
Mwenyekiti wa IEBC Nandi, Silas Rotich, amesema maand




