Back to home

Polisi watawanya waandalizi wa kampeni mjini Malava

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 21, 2025
7h ago
Jaribio la polisi kuzuia mkutano wa siasa wa mrengo wa upinzani mjini Malava liliambulia patapu baada ya wafuasi wa upinzani kuwafurusha polisi hao.