Back to home

Justin Muturi adai IEBC inapanga kutumia sajili ya wapiga kura ya 2017 Mbeere Kaskazini

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 21, 2025
6h ago
Mvutano unazidi kutanda katika eneo bunge la Mbeere Kaskazini kabla ya uchaguzi mdogo ujao kufanyika kufuatia madai kwamba IEBC ilikuwa inapanga kutumia sajili ya wapiga kura ya 2017 ambayo itawafungia maelfu waliojiandikisha baadaye. Subscribe and watch NTV Kenya live for late