Back to home

Vilabu vya FKF kutoka ukanda wa mashariki vimepitisha mpango wa kuwa na ligi ya jumla

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 21, 2025
6h ago
Vilabu vya FKF kutoka ukanda wa mashariki vimepitisha mpango wa kuwa na ligi ya jumla maarufu kama Conference League kwenye mapendekezo yanayoendelea kutolewa kote nchini.