Back to home

Barabara ya Mombasa-Malindi kufunguliwa ndani ya siku 10

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 21, 2025
6h ago
Barabara kuu ya Mombasa kuelekea Malindi inatazamiwa kufunguliwa kwa umma katika siku 10 zijazo ili kutoa fursa kwa watalii na kupunguza msongamano mkubwa unaoshuhudiwa kila siku katika maeneo ya nyali centre hadi mtwapa. Kulingana na mamlaka ya ujenzi wa barabara kuu Kenha pia a