Back to home
Mashindano ya punda yaingia katika hatua ya nusu fainali Lamu
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 21, 2025
5h ago
Ni siku ya pili ya tamasha za utamaduni wa Lamu makala ya 24. Hii leo mashindano ya punda yameingia katika hatua ya nusu fainali, vijana barobaro wakijitokeza kwa wingi kushiriki kabla ya fainali ya kukata na shoka hapo kesho.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Keny




