Back to home
Ford Kenya yaimarisha kampeni zake kuelekea uchaguzi mdogo wa wadi ya Ekerenyo
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 21, 2025
5h ago
Katika kaunti ya Nyamira, chama cha Ford Kenya kimeimarisha kampeni zake kuelekea uchaguzi mdogo wa wadi ya ekerenyo, kikimsukuma mgombea wao pekee wa kike, Margaret Nyanchama.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get




