Back to home
Kamishna John Otieno asisitiza haja ya kuimarisha uratibu wa kisekta ili kuboresha usalama
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 21, 2025
5h ago
Kamishna wa polisi wa eneo la kaskazini mashariki, john otieno, amesisitiza haja ya kuimarisha uratibu wa kisekta mbalimbali ili kuendeleza usalama wa eneo hilo, akisema kuwa jukwaa la ushirikiano kati ya serikali, wadau na jamii limeongeza ufanisi wa kubadilishana taarifa na kup




