Back to home
Junior Stars wa U17 washinda mchezo wao wa kwanza CECAFA kufuzu AFCON
video
C
Citizen TV (Youtube)November 21, 2025
35m ago
Timu ya taifa ya soka kwa vijana walio na chini ya miaka kumi na saba, Junior Stars, imeandikisha ushindi wake wa kwanza kwenye mchuano wa CECAFA kuwania kufuzu kwa AFCON.




