Back to home

Rais Ruto apuuzilia mbali muungano wa upinzani, awataja kama usio na ajenda ya kufaidi Wakenya

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 22, 2025
12h ago
Rais William Ruto amepuuzilia mbali muungano wa upinzani na kuutaja kama ambao hauna mwelekeo wala ajenda itakayowafaidi wakenya. Rais amesema kuwa viongozi wa upinzani hawa ruwaza mbadala itakayoweza kuendeleza taifa. Ruto pia aliwasuta baadhi ya wanasiasa wanatilia shaka mpango